Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

TMA, UPEPO, MKALI

TMA YATOA TAHADHARI UPEPO MKALI WA KILOMETA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MITA 2.0

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya hali ya Hewa TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha Vipindi vya Upepo mkali unafikia Kilometa 40 kwa saa...
TADEPA, SHAURI, RASILIMALI

TADEPA YA SHAURI KUTENGWA RASILIMALI ZA KUTOSHA KWA AJILI YA MALEZI BORA KWA WATOTO

0
Shirika la TADEPA ambalo si la kiserikali linalojihusisha na masuala ya kijamii hususani kwa upande wa watoto lenye makao yake makuu Manispaa ya Bukoba...

KANISA KATOLIKI KUFANYA MBIO ZA HISANI MARATHONI MEI 27 MWAKA HUU

0
Na Magrethy Katengu ASKOFU Mkuu Jimbo kuu la Dar es salaam Jude Ruwa'ichi ameshauri Jamii kuwa na desturi ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili...
MAADHIMISHO, UHANDISI, JIJINI

MAADHIMISHO SIKU YA UHANDISI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kwa kushirikiana na Chama cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACRT) na Bodi ya Usajili ya Wahandisi Tanzania (EAFEO)...
MAADHIMISHO, UHANDISI, JIJINI

MAADHIMISHO SIKU YA UHANDISI KUFANYIKA MACHI 5 JIJINI DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kwa kushirikiana na Chama cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACRT) na Bodi ya Usajili ya Wahandisi Tanzania (EAFEO)...

MJEMA: WANACCM HATUTANYAMAZA KWA HAYA MAKUBWA ANAYOFANYA RAIS SAMIA.

0
Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Sophia Mjema amesisitiza kuwa wanaCCM kamwe wasikubali kunyamaza bali waendelee kusemea haya...

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMAPORI DUNIANI

0
Na Mercy Maimu Waziri wa Mali Asili na Utalii  MOHAMED MCHENGERWA ametoa wito kwa wadau wote wa uhifadhi nchini kuendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha kuwa...
BRELA, WADAU, KUPITIA

BRELA YAKUTANA NA WADAU KUPITIA KANUNI ZA WAMILIKI MANUFAA

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Vyombo vya Uchunguzi kupitia Kanuni za Wamiliki Manufaa wa Kampuni zinazomilikiwa na Wabia kwa...
TBS, WADAU, VIFUNGASHIO

TBS WAKUTANA NA WADAU WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI NA MIFUKO MBADALA

0
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),Dkt.Athuman Ngenya akiongoza Kikao cha Waagizaji, Wazalishaji na Wasambazaji wa Mifuko Mbadala na Vifungashio vya Plastiki , Kikao...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA