Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

Waziri Dkt.Pindi Chana Ateta na Watumishi wa Wizara

0
Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka watumishi wa wizara hiyo wafanye kazi kwa kuzingatia matakwa ya...
JWT, KAGERA, SERIKALI

JWT KAGERA WAIOMBA SERIKALI KUENDELEA KUZITATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYA BIASHARA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Jumuiya ya wafanyabiashara Mkoa Kagera (JWT) imeiomba Serikali kuendelea kuzifanyia kazi ya utatuzi kwa baadhi ya changamoto kadhaa zinazowakabili wafanyabiashara wa...
ASKARI, POLISI, JWTZ

ASKARI WAKIKE POLISI, JWTZ, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO NA UOKOAJI WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Askari wa kike kutoka jeshi la Polisi dawati la jinsia pamaja na askari wengine kutoka majeshi mengine ambayo ni Jeshi la...
NAIBU WAZIRI, MASANJA, KIKAO

NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi...
NDUNGURU, UWEKEZAJI, SEKTA

NDUNGURU: UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI UMEKUA KWA KASI

0
-Asisitiza uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji -Katibu Mkuu Mahimbali aahidi kuyaenzi mazuri ya Ndunguru Dodoma Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...
MAKAMU, RAIS, TANZANIA
CHANGAMOTO, WAVUVI, ELIMU

TMFD YABAINI CHANGAMOTO KWA WAVUVI KUTOKUWA NA ELIMU YA KUJILINDA ZIWANI

0
Mkurugenzi wa shirika la Tanzania Media for Maritime and Fisheries Development Bwana Edwin Soko ametembelea mwalo wa Muswahili uliopo Jijini Mwanza eneo la Mkuyuni...
BAKWATA, MWANZA, MAANDAMANO

BAKWATA MWANZA WAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA MAPENZI YA JINSIA MOJA

0
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania ( Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili...

Makamu wa Rais ametoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa kuendelea kuunga mkono Mataifa yanayoendelea

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameshiriki katika mjadala uliobeba ajenda ya Uwekezaji kwa Watu Wote Pasipo Ubaguzi...
WIZARA, FEDHA, UPOTOSHAJI

WIZARA YA FEDHA YAKERWA NA UPOTOSHAJI MITANDAONI

0
Wizara ya Fedha na Mipango imekanusha taarifa ya uzushi na upotoshaji iliyochapishwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV kuhusu madai ya Tanzania...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA