MAADHIMISHO YA WANAWAKE DUNIANI KAMPUNI YA PUMA YATOA MSAADA KWA WALEMAVU MAFUTA MITUNGI YA...
Na Magrethy Katengu
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma (PUMA ENERGY) imeungana na Watanzania wote nchini katika kusheherekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika Machi...
CDE.MBETO-AKEMEA SIASA ZA UPOTOSHAJI
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
CHAMA cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar, kimevitaka baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini kuacha tabia ya kuwapotosha wananchi juu ya miradi ya...
MAADHIMISHO YA MWANAMKE DUNIANI ACB BENKI YAZINDUA WARIDI AKAUNTI
Na Magrethy Katengu
Benki ya Akiba Commercial ikiwa Leo ni siku ya Maadhimisho ya mwanamke Duniani waja kivingine kuwasaidia Wanawake Wajasriamali kwa kuzindua akaunti ya...
TIGO WAZINDUA MNARA LONGIDO – ARUSHA , WAZIRI NAPE AFUNGUKA HAYA
WAZIRI wa habari mawasiliano na teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye ameipongeza kampuni ya Tigo kwa kazi kubwa waliyoifanya kupunguza changamoto za mawasiliano vijijini...
WANANCHI WALIOTOKA KATIKA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WANAUWEZO WA KUMILIKI ARDHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema wananchi waliotoka katika Mamlaka ya hifadhi ya...
WANAWAKE WIZARA YA FEDHA WATOA MSAADA SHULE YA BUIGIRI
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Chamwino
Watumishi Wanawake Wizara ya Fedha na Mipango wametoa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wanafunzi wenye ulemavu...
TMA YATOA UTABIRI WA HALI YA HEWA UNAONESHA UPEPO AMBAO UTAKAU KILOMETA 30 KWA...
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya hali ya Hewa TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha Upepo wa Pwani unafikia Kilometa 30 kwa saa huku...
WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA ANATAKA KUONA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka kuona mabadiliko kwenye sekta ya mifugo si tu kwa kijiji cha Msomera bali...
TANZANIA NA DENMARK KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
Na Josephine Majura, (WFM) Doha Qatar
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Denmark imekubali kushirikiana na Tanzania katika kupambana...
UBUNIFU WA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA CHACHU KATIKA KULETA USAWA WA KIJINSIA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki katika hafla ya ugawaji majiko Banifu 114 yanayotumia nishati safi na Salama ya kupikia katika...















