JUKWAA LA THE WARRIOR WOMEN LAWAFUNDA WAJASIRIAMALI ZANZIBAR
WANAWAKE Visiwani Zanzibar wameshauriwa kujiamini na kujikubali katika kuanzisha biashara za Ujasiriamali wakitumia ubunifu wa rasilimali zilizopo kisiwani humo kutengeneza bidhaa ambazo wataziuza ndani...
ZAIDI YA ASILIMIA 90 WAKAZI WANAOISHI BONDE LA MSIMBAZI WAMESHAFANYIWA UTHAMINI WA MALI ZAO
Na Magrethy Katengu
Zaidi ya asilimia 90 ya Wakazi waishio eneo la Bonde la Mto Msimbazi wameshafanyiwa uthamini wa viwango wanavyotakiwa kufidiwa ili kupisha Mradi...
PINDA ATAKA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA KUONGEZA MADUHULI YA SERIKALI
Na Anthony Ishengoma- Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Bw. Makazi Geofrey Pinda amesema vipaumbele vya Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi...
BRELA YATOA UFADHILI WA MASOMO YA UZAMILI KATIKA FANI YA MILIKI UBUNIFU
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watano ambao wanasoma Shahada ya Uzamili katika fani ya Miliki...
DKT. YONAZI ATETA NA MENEJIMENTI YA TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA.
NA.MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Tume ya Kudhibiti...
DIWANI MANIFREDI LYOTO AMWONA RAIS SAMIA HASSAN MWANAMKE MWENYE UPEKEE WAKE
Na Magrethy Katengu
Diwani wa Kata ya Mzimuni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Manfred Lyoto amekiri kumpa Mwanamke kuwa daraja la kwanza kwani imejidhihirisha kwa...
TBS WAKUTANA NA WAZALISHAJI WA MATOFALI , MAKARAVATI NA WAMILIKI WA GEREJI , KUWAPA...
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akifungua Mafunzo ya Uhamasishaji kwa Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa...
BENKI YA EQUITY YASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KISHINDO
Benki ya Equity inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kipaumbele cha suluhisho za kidigitali katika huduma zao za benki kwa wanawake. Kauli mbiu...
WANAWAKE WA STAMIGOLD WAGUSWA NA CHANGAMOTO ZA MAMA NA MTOTO.
Kikundi cha wanawake wanaofanya kazi kwenye mgodi wa STAMIGOLD (UWASTAMI) uliopo wilayani Biharamulo mkoani Kagera wameadhimisha sherehe za siku ya mwanamke duniani kwa kutoa...
CHUO CHA MAJI CHATAKIWA KUWA MAABARA YA SEKTA YA MAJI
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekitaka Chuo cha Maji kuwa maabara ya kutafiti na kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazotokea katika Sekta ya...














