Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

TABORA YAPOKEA ZAIDI YA BILIONI 21 NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA

0
-Madaktari Bingwa wapiga kambi hospitali ya Rufaa-Kitete Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora Zaidi ya Shilingi bilioni 21 zimetolewa ndani ya miaka miwili na Serikali ya Awamu ya...
Mwanza, Maadhimisho, nenda

Mwanza mwenyeji Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Kitaifa

0
Uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kitaifa kufanyika Machi 14 Mkoani Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Kassim...

SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA UKOMO WA BAJETI 2023/2024

0
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imewasilisha kwa Wabunge Mapendekezo  ya  Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, ambapo imepanga kukusanya na kutumia jumla...

Maelfu yakipokea Kwa Shangwe Kituo cha Kisasa cha Redio Rufiji

0
Na John Mapepele Maelfu ya Wananchi wa Ikwiriri- Rufiji na vitongoji vyake usiku huu wamefurika katika Tamasha la uzinduzi waRufiji FM - Raha ya Pwani...
WAZIRI MKUU, VIJANA, MSIOGOPE

WAZIRI MKUU: VIJANA MSIOGOPE KUKOPA MITAJI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari kurejesha mikopo hiyo. “Vijana wetu...
KAMATI, BUNGE, UWEKEZAJI

KAMATI YA BUNGE YASHAURI UWEKEZAJI ZAIDI SEKTA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Biashara imeishauri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuwa na Mipango Mikakati inayolenga kuendeleza...
SIMBA, RAIS, SAMIA

SIMBA YAMVULIA KOFIA RAIS SAMIA, YAMUAHIDI KWA HOROYA 

0
WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni...

WAZIRI MKUU: CHANGAMKIENI FURSA KUJENGA UCHUMI WA KIDIJITALI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanawake wote na Watanzania kwa ujumla waendelee kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na matumizi ya teknolojia katika kujenga uchumi wa...

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA KWENYE KAMATI YA BUNGE

0
Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika...
MAJI

DKT.DIMWA-ASIFU KASI YA UTEKEKLEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI

0
visiwa vidogo wanapatiwa maji safi na salama ifikapo 2025. Hivyo alisema, serikali ya awamu ya nane chini ya uongozi wa Dk. Hussein Ali Mwinyi imepokea...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA