WAZIRI MKUU: JUKUMU LA USALAMA BARABARANI NI LA KILA MTU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa jukumu la usalama barabarani ni la kila mtu na si la Serikali pekee na amewataka wananchi wote watoe...
MOODY’S WATUA NCHINI, KUFANYA TATHIMINI
Na. Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Taasisi ya kimataifa inayojihusisha na kuzifanyia tathimini nchi mbalimbali ili kujua uwezo wake wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, Moody’s, imetua...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MAZITO KUDHIBITI AJALI BARABARANI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuanzia Januari mwaka 2020 hadi Desema, 2022 jumla ya ajali 5132 zilizoripotiwa kwenye...
MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KUTEMBELEA TANZANIA
Makamu wa Rais wa Marekani Mheshimiwa Kamala Harris anatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi 2023, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri...
ASANTENI KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA KUBORESHA SEKTA YA AFYA- DKT. MOLLEL
Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP kwa kuendelea kushirikiana na Serikali ya...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIPATIA GST MASHINE ZA UTAFITI WA MADINI
Na.Samwel Mtuwa - GST
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Serikali Awamu ya Sita kwa kuipatia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti...
KATAMBI AFURAISHWA USHIRIKISHWAJI WAZAWA MRADI WA SGR
Na: Mwandishi Wetu – TABORA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amefurahishwa na ushirikiwaji wa wazawa...
WATU 267, 261 WAFIKIWA NA KAMPENI YA ELIMU NA UHAMASISHAJI CHANJO YA SURUA
Na.Elimu ya Afya kwa Umma.
Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa jamii...
KAMATI YA AMANI YAMPONGEZA RAIS SAMIA
KAMATI ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wakuu wa Wilaya hapa nchini kuzingatia utawala bora,kanuni,...















