TANZANIA MIONGONI MWA NCHI 30 DUNIANI ZENYE WAGONJWA WENGI WA KIFUA KIKUU
Na: HERI SHAABAN, MVUON
Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 Duniani zenye wagonjwa wengi wa TB ambazo huchangia asilimia 87 ya Wagonjwa wote Duniani (Takwimu...
SERIKALI KUHAKIKISHA ULINZI NA USALAMA MAHALI PA KAZI
Na Magrethy Katengu
Serikali imesema itaendelea kuheshimu mikataba ya Kimataifa kwa kuhakikisha kuwa inaweka ulinzi na Usalama mahali pa kazi ili kusaidia Wafanyakazi walioajiriwa au...
SOKO LA MADINI CHUNYA LAKUSANYA KILO 250-300 KWA MWEZI
Dkt. Kiruswa afungua Maonesho ya Kwanza ya Teknolojia ya Madini Mkoa wa Mbeya
Tangu kuanza kwa utaratibu wa kuwa na masoko ya madini, Mkoa wa...
BRELA KUCHOCHEA UJIO WA WAWEKEZAJI NCHINI
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), itaendelea kutoa elimu kuhusu dhana ya Wamiliki Manufaa wa kampuni ili wawekezaji waendelee kuiamini nchi na...
SENYAMULE AWAKARIBISHA MABALOZI DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo tarehe 15/03/2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Mhe.Yasushi Misawa na Mhe. Tri...
WAKAZI WA KAGERA KUONDOKANA NA ADHA YA NISHATI YA UMEME BAADA YA AFDB NA...
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
WAKAZI wa Mkoa wa Kagera wanatarajia kuondokana na changamoto ya kukosa umeme wa uhakika baada ya Tanzania na...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI YA AFYA RRH-IRINGA
Na. Majid Abdulkarim, Iringa
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Afya na Maswala ya Ukimwi imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya afya katika Hospitali ya...
WAZIRI SIMBACHAWENE “TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOTOLEWA KUFANYA KAZI”
Na. Mwandishi wetu – Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene, amewataka watumishi wa...
JITIHADA ZA MAKUSUDI ZAFANYIKA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU IFIKAPO 2030.
Na Magrethy Katengu
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imekuwa ikiongeza jitihada za makusudi kwa kuweka mikakati mbalimbali ikiwemo kutoa Elimu Ili kuhakikisha...
WANANCHI WA TABORA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWASOGEZEA HUDUMA ZA KIBINGWA
-Wagonjwa 3000 kufikiwa na huduma za kibingwa
Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora
Wakazi wa Tabora na viunga vyake wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya afya kwa kuwasogezea huduma...















