Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

KAMATI, AMANI, MKOA

KAMATI YA AMANI MKOA WA MWANZA YALAANI TUKIO LA KUVAMIWA KANISA.

0
Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza imekutana na kulaani na kupinga tukio la kanisa katoliki kuvamiwa na kuharibiwa kwa baadhi ya vifaa mkoani Geita...
MAKAMU, RAIS, DKT

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATOA WITO KWA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa nchi wanachama Zisizofungamana na Upande Wowote (Non-Aligned Movement)...
NYANGASA, JENGO, UTAWALA

DC NYANGASA ARIDHISHWA NA EMD NA JENGO LA UTAWALA KISARAWE

0
KISARAWE-Pwani Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mhe Fatma A.Nyangasa leo tarehe 02/03/2023 amefanya ziara ya kutembelea miradi miwili ya maendeleo katika wilaya hiyo ikiwemo jengo...
WCF, WANUFAIKA, 454

WCF YAWALIPA WANUFAIKA 10,454 SHILINGI BILIONI 49.44 TOKA KUANZISHWA KWAKE

0
Na. Jacquiline Mrisho - MAELEZO Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umefanikiwa kulipa fidia stahiki ya jumla ya Shilingi bilioni 49.44 kwa wakati kwa wafanyakazi wanaoumia,...
TEWW, Mikakati, Wasichana

TEWW Yaweka Mikakati Wasichana Waliokatisha Masomo Kufika Vyuo Vikuu

0
Na. Timoth Anderson Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imekutana na watekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) na...

WAZIRI MKUU : HARAKISHENI UKARABATI UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

0
Aagiza kufanyika kwa mapitio ya idadi za mechi zinazochezwa kwenye uwanja huo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuanza haraka...

MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 01 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu...
WAFANYABIASHARA, UDANGANYIFU, KWENYE

WAFANYABIASHARA WATAKAOFANYA UDANGANYIFU KWENYE UZITO WA MITUNGI YA GESI KUTOZWA FAINI

0
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, imewataka wauzaji na wasambazaji wa nishati ya gesi kutumia mizani sahihi iliyohakikiwa na wakala huo ili kumlinda mlaji...
FRIENDS, TULIA, TRUST

FRIENDS OF TULIA TRUST  WASHINDWA KUTIKISA NYAVU ZA ESPANYOL 

0
Na. Munira Abdallah, Mzawablog KATIKA  Muendelezo wa Ligi ya Sodo 4 Climte timu ya Friends of Tulia trust wayaaga Mashindano rasmi kwa upande wa Wanawake...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA