BASHUNGWA AWASILI MANYARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa leo Septemba 26, 2022 amewasili Mkoani Manyara...
MASHINDANO YA UTALII SAADAN YAFANA
Na Mwandishi Wetu, TANGA
MASHINDANO ya Kutangaza Utalii wa Ndani yamefana mkoani hapa Baada ya kuwavutia Watu mbalimbali wa Ndani na nje,
mashindano hayo ya Majahazi...
MKUTANO WA WADAU KUJADILI MAPITIO YA SERA YA ELIMU NA MITAALA KUFANYIKA KWA SIKU...
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma
Serikali imeandaa mkutano maalumu kwa mara nyingine wa wadau wa elimu kutoka maeneo na sekta mbalimbali nchini kote nchini.
Akizungumza na waandishi...
WAHITIMU JKT WATAKIWA KUWA WAZALENDO NA MOYO WA KULITUMIKIA TAIFA.
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
WAHITIMU wa Jeshi la Kujenga Taifa Nchini JKT kikosi 838 KJ Maramba mkoani Tanga wametakiwa kuwa Mabalozi, Wazalendo na Moyo wa...
FANYENI MAZOEZI ILI MJIKINGE NA MARADHI-MAMA MARIAM MWINYI.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amesema Taasisi ya Zanzibar maisha Bora Foundation itaendelea kuwahamasisha Wazanzibar...
MANDONGA RAUNDI 6 ZA BAIKOKO KESHO NANGWANDA MTWARA
Na.Khadija Seif, Mtwara
BONDIA wa Ngumi za kulipwa Karim Mandonga atamba kumchezesha mpinzani wake Baikoko , Salim Abeid katika uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani...
KAMATI YA BUNGE YASISITIZA MRADI WA MAJI NZUGUNI KUKAMILIKA KWA WAKATI
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeisisitiza Wizara ya Maji na Mamlaka ya Maji Safi na...
SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inasimamia kikamilifu sekta ya nishati ikiwemo kuendelea...
BILIONI 150 YA RUZUKU YA MBOLEA IMEIDHINISHWA ILI KUWEZESHA UPATIKANAJI WA BITHAA KWA WINGI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku ya mbolea ili kuwezesha upatikanaji wa...
TANZANIA NA NCHI ZA AFRIKA ZINAHITAJI MABADILIKO KATIKA KUFIKIA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa...













