BASHUNGWA ASIMAMISHA KAZI MAAFISA WATANO – MBULU MANYARA
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya...
SERIKALI KUPITIA TASAF YAJENGA BWENI KIJIJI CHA BUKUNDI KUONGEZA UFAULU WA WANAFUNZI NA KUWAEPUSHA...
Na. Veronica Mwafisi - Meatu
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia Mpango...
WAKAZI MKOANI MARA WAPONGEZA JESHI LA POLISI KUWADHIBITI MAJAMBAZI.
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni.
Wananchi hao wameelezea namna...
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI NA MKUU WA WILAYA YA GEITA WATEMBELEA...
Na Humphrey Msechu, Geita
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo na Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson Shimo leo Septemba 27, 2022...
BARAZA LA MADIWANI ILALA LAPITISHA TAARIFA YA HESABU ZA MWISHO ZA HALMASHAURI
Na Magreth Mbinga
Baraza la Madiwani Manispaa ya Ilala leo septemba 27 limekaa kwaajili ya kupokea na kupitia taarifa za hesabu za mwisho ambapo sheria...
WAKAZI KATA YA MCHIKICHINI WAFUTWA MACHOZI BAADA YA KILIO CHA MUDA MREFU
Na Magreth Mbinga
Wananchi wa Kata ya Mchikichini,Wilaya ya Ilala wametakiwa kujivunia mradi wa kituo cha afya ambao anatarajiwa kuanza ujenzi hivi karibuni katika Kata...
KAMPENI YA SMAUJATA KUFIKA KILA ENEO MKOANI MOROGORO.
Na, Saidi Ibada, Morogoro.
Kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoani Morogoro imedhamiria kuwafikia Wananchi Kutokana maeneo mbalimbali mathalani wale...
UZINDUZI WA KAMPENI YA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA HISENSE YAPAMBA MOTO.
Na Mwandishi Wetu,
Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi maisha ya kidigitali nchini Tigo Tanzania, hii Leo tarehe 27 mwenzi huu imetangaza ushirikiano baina...
DKT.JINGU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ameongoza kikao cha 8 cha Kamati ya Ushauri...
NMB YASHINDA TENA TUZO YA BENKI BORA WATEJA BINAFSI TANZANIA
Na Mwandishi WetuKwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi ya kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana na ubora wa...













