MHE.MCHENGERWA ATEMBELEA ENEO LA FILAMU ZA DILIRUS ERTUGRUL NA THE OTTOMAN
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 4, 2022, ametembelea eneo mashuhuri la uigizaji wa filamu nchini Uturuki chini ya mwongozaji...
WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA NGOs DODOMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Mkakati wa Kitaifa wa Uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (National Strategy for NGOs Sustainability) na kuagiza utafsiriwe kwa...
WAZIRI UMMY MWALIMU AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU EBOLA
Na. Catherine Sungura, WAF - KAGERA.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee...
TARURA PANGANI YAMALIZA CHANGAMOTO YA KUJAA MAJI MAKAZI WAKATI WA MVUA.
NA. BONIFACE GIDEON, PANGANI
Wakala wa barabara za vijijini (TARURA) Wilayani Pangani imesema katika kuhakikisha changamoto za miundombinu ya Barabara za Vijijini katika wilaya hiyo...
WIZARA YA ARDHI IMEONGEZA SIKU TATU KUSIKILIZA MALALAMIKO YA MIGOGORO YA ARDHI DODOMA
Na Magreth Mbinga
Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imeongeza siku za kusikiliza malalamiko ya migogoro ya Ardhi katika mkoa was Dodoma baada...
WIZARA YA ARDHI KUKUSANYA MAPATO KWA KUTUMIA MITANDAO YA SIMU NA BENKI
Wizara ya ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi imeandaa utaratibu wa kutumia makampuni ya mitandao ya simu pamoja na benki zilizopo nchini ili kurahisisha...
TANZANIA MBIONI MDUNDO WA ASILI WA KITAIFA
Na Magrethy Katengu.
Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imesema inaendelea na mchakato wa ukusanyaji...
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: NIC YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) limesisitizwa a kuendelea kutoa huduma kwa ufanisi ili kusaidia kuongeza wigo wateja na nchi iweze kunufaika pato lake...
IBRAHIM NDORO ACHAGULIWA KUWA MWEYEKITI WA CCM WILAYA YA RUANGWA
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wilayani Ruangwa kutoka kata 22 wamemchagua Ndugu Ibrahim Issa Ndoro kuwa Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo.
Katika Mkutano...
85% YA BARABARA KUPITIKA IFIKAPO 2025
Na Immaculate Makilika – MAELEZO
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff ameeleza kuwa katika Mpango Mkakati wa...













