Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October

Monthly Archives: October 2022

WANANCHI KAGERA WAIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUTOA ELIMU YA UGONJWA WA EBOLA.

0
Na.Faustine Gimu, Missenyi Kagera. Wananchi wa Bunazi Wilayani Missenyi Mkoani Kagera wamefurahishwa na hatua mbalimbali za wizara ya Afya na ubunifu wa utoaji wa elimu...

PROF.MKENDA SERIKALI KUJA NA MAGEUZI MAKUBWA YA ELIMU NCHINI

0
Amesema Serikali kusheherekea Siku ya Mwalimu Duniani 2023 Bukombe Ahaidi kujenga VETA wilaya ya Bukombe Imeelezwa kuwa, Serikali imepanga kufanya mageuzi makubwa katika utoaji wa elimu...

DKT.BITEKO SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA MWALIMU KATIKA MAENDELEO

0
Imeelezwa kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan inautambua mchango wa mwalimu katika kujenga maendeleo ya Taifa. Hayo...

SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI...

0
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu...

WAFANYAKAZI NMB MADARAKA WATOA MSAADA HOSPITALI YA BOMBO.

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Tawi la Madaraka Jijini Tanga Leo wametoa msaada wa Vifaa mbalimbali kwaajili ya kuwasaidia akina Mama...

WAZIRI MKENDA AKERWA KUSUASUA UJENZI VETA-SIMIYU//ATOA MAAGIZO MRADI UKAMILIKE HARAKA

0
Na Mathias Canal, WEST-Simiyu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA...

DKT.MWINYI KUMUWAKILISHA MHE.SAMIA MIAKA 60 YA UHURU WA UGANDA

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewasili jioni hii katika uwanja wa ndege wa Entebbe Uganda kumwakilisha...

KAMPENI YA “JIFICHUE” YAZINDULIWA KWA AJILI YA KUTOA ELIMU YA AFYA YA AKILI

0
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vyenye uhusiano na masuala ya afya ya akili nchini mtanzania anayefahamika kwa jina la Belinda ameanzisha kampeni ya JIFICHUE...

SERIKALI YATUMIA BILIONI 1 KUKARABATI NA KUONGEZA MIUNDOMBINU CHUO CHA UALIMU BUTIMBA-MWANZA

0
Na Mathias Canal, WEST-Mwanza Serikali imetumia Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kukarabati na kuongeza miundombinu ya elimu ya Chuo cha Ualimu Butimba kilichopo katika...

WAZIRI MKENDA ATAKA CHUO CHA DIT KUONGEZA MAFUNZO KWENYE UJUZI WA BIDHAA ZA NGOZI

0
Na Mathias Canal, WEST-Mwanza Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa za ngozi. Waziri wa...