TUTAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WATOTO WA KIKE-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kutoa kipaumbele katika kuhakikisha wanawake na watoto wa kike wanapata huduma wezeshi zikiwemo za afya...
WASHINDI WA KAMPENI YA CHIPSIKA KUNUFAIKA NA JIKO LA KISASA M_GAS
KAMPUNI ya Cocacola wazindua rasmi Kampeni ya chipsika kiajira na Cocacola ambapo Vijana 300 katika wilaya zote za Jijini la Dar es salaam kushikwa...
SERIKALI KUIMARISHA TEHAMA, KUFUTA TOZO ILI KUJENGA UCHUMI FUNGAMANI
Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka Mazingira Wezeshi kwa Uendeshaji wa Biashara na Uwekezaji kwa kuimarisha mifumo ya TEHAMA, kufuta au kupunguza tozo,...
DKT.MWINYI KUANZA ZIARA YA SIKU NNE NCHINI OMAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi, asubuhi ya leo Jumanne tarehe 11 Oktoba ameondoka Zanzibar kuelekea...
VIWANDA VYA NGUO VYAPEWA KIPAUMBELE; VIJANA, WANAWAKE KUNUFAIKA ZAIDI
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha viwanda vya nguo nchini vinavyoajiri watu...
SERIKALI YATOA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA VIWANDA VYA DAWA NA VIFAA TIBA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara - Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Serikali imetoa vivutio vya uwekezaji katika...
WAZIRI MKENDA APONGEZA KASI UJENZI VETA-GEITA//AKIWEKA KIKAANGONI CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
Na Mathias Canal, WEST-Geita
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda amepongeza kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi stadi-VETA katika mkoa...
WAZIRI UMMY: IPO HAJA YA KUANGALIA NAMNA YA KUTOA HUDUMA ZA KISAIKOLOJIA NA AFYA...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea nchini, ipo haja ya kuangalia namna ya kutoa huduma za kisaikolojia na afya...
WAZIRI KAIRUKI ATOA MAAGIZO KWA WAKALA WA MABASI YAENDAYO KWA HARAKA (DART)
Angela Msimbira OR-TAMISEMI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki ameutaka Walaka wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART)...
WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA – DART
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah J. Kairuki akiwasili Makao Makuu ya Ofisi za...













