Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October

Monthly Archives: October 2022

WAHARIRI WAPIGWA MSASA ELIMU YA AFYA YA AKILI KATIKA KUHABARISHA UMMA

0
Na. Mercy Maimu Katika kuelekea maazimisho ya afya ya akili duniani, madaktari, wataalamu na wanasaikolojia wameitaka jamii kuepuka msongo wa mawazo kwani ni chanzo kikuu...

DKT.BITEKO ATOA ONYO KWA WANAOSHUSHA UBORA DHAHABU GEITA

0
Aagiza kufuta leseni kwa wote wanaoshusha dhahabu ubora Asema Watumishi, Wafanyabiashara wanaohusika na mchezo huo hawapo salama Serikali kuweka mfumo katika masoko kubaini watakaopunguza ubora wa...

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NCHINI YAMEAGIZWA KUFUNGUA AKAUNTI ZAO KATIKA BENKI ZA HAPA NCHINI

0
Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini yameagizwa kufungua akaunti zao katika benki za nchini na kitendo hicho kimetajwa kama ni sehemu ya uzalendo. Wito huo ulitolewa...

WAHASIBU SEKTA YA MAJI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA ZAO

0
Wahasibu katika Sekta ya Maji wametakiwa kufanyia kazi maeneo yenye changamoto yakiwemo maeneo ya ufungaji wa hesabu za mwisho na mikataba ili kuepusha kujirudia...

MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA NGUMI TANGA YAFANA .

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA MASHINDANO ya kutafuta vipaji vya mchezo wa Ngumi Mkoa wa Tanga Maarufu kama Five Brothers boxing championship yameanza kupata mwitikio mkubwa...

TAMISEMI WAMUAGA WAZIRI BASHUNGWA

0
OR -TAMISEMI Menejimenti wa Watumishi wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakiongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za...

VIFAA TIBA KUPELEKWA KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE

0
Na.Catherine Sungura,WAF-Misenyi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza kupelekwa kwa vifaa tiba ikiwemo mashine ya usingizi na upasuaji ndani ya wiki moja kwenye kituo...

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA WAZEE KASULU

0
Na Magreth Mbinga Serikali na wadau hususani vijana wameombwa kuhakikisha kuwa wazee wanapata haki zao stahiki pamoja na kuimarishwa kwa sheria na kuondolewa kwa mifumo...

UMMY MWALIMU APOKEA VIFAA KINGA NA NYENZO ZA KUTOLEA ELIMU

0
Kyerwa, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amepokea vifaa kinga na nyenzo za kutolea elimu kwa umma kutoka Shirika la MDH-Tanzania ikiwa ni...