MMUYA ARIDHISHWA UJENZI WA KITUO CHA URATIBU NA UDHIBITI WA MAAFA.
Na Mwandishi wetu - Dodoma
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi...
DKT. BITEKO AKAGUA UJENZI WA MJI WA TANZANITE MIRERANI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amepokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la soko la madini ya Tanzanite lililopo katika Mji wa...
WAFUGAJI TARAFA YA NANYUMBU WASISITIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA NA KUACHANA NA DHANA POTOFU JUU YA...
Tar.26.07.2022.
Ikiwa zimesalia siku chache sensa ya Watu na Makazi kufanyika Leo Afisa Tarafa Nanyumbu ndg. Livinus Nchimbi amefanikiwa kuwafikia Wafugaji wote ndani ya Tarafa...
BALOZI MULAMULA;WANAWAKE WAFANYABIASHARA SHIRIKIANENI KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amewashauri wanawake wajasiliamari kushirikiana kwa pamoja katika kuchangamkia fursa...
WAZIRI NDALICHAKO ATOA MAAGIZO MANNE KWA WAMILIKI WA VIWANDA.
Na: Mwandishi Wetu - Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako...
RAIS SAMIA KUZINDUA MPANGO WA UTOAJI RUZUKU YA MBOLEA KWA WAKULIMA.
Na, Oscar Kasubi.
Kutokana na kupanda kwa bei za mbolea katika soko la Dunia na hapa nchini, Serikali imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 150...
HALMASHAURI YA MERU YAPATA ELIMU YA KUKABILIANA NA MAAFA
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Luteni Kanali Selestine Masalamado amesema elimu ya usimamizi wa Maafa itaendelea kutolewa kwa wananchi kwa...
WAZIRI UMMY: SIMAMIENI SHERIA NA TARATIBU ZA BODI KATIKA UTENDAJI
Na WAF - DSM
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka bodi ya wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) kusimamia Sheri na utaratibu wa bodi...
BASHUNGWA: WABADHILIFU NA WAZEMBE KWENYE HALMASHAURI ZOTE KUCHUKULIWA HATUA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martin...













