Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

SERIKALI INATOA WITO KWA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI NA KUTOA TAARIFA

0
Na. WAF Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu leo amewasili Mkoani Kagera kwa lengo la kujua hali inavyoendelea juu ya ugonjwa wa MARBURG ulioibuka hivi...

WAZIRI MKUU AKAGUA MIRADI WILAYA YA ITILIMA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Njalu katika kijiji cha Kimali, kata ya Nyamalapa, wilayani Itilima, mkoani Simiyu na...

MITAMBO YA KUCHIMBA VISIMA VIREFU YAKABIDHIWA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 25 Machi 2023, amezindua mradi wa maji wa Ngulyati - Nyamswa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu pamoja na kukabidhi mitambo...
MAKALA, VIONGOZI, SERIKALI

RC MAKALA ATOA MAAGIZO KWA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTUMIA TAKWIMU ZA SENSA...

0
Na. Magrethy Katengu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amosi Makala amewataka Viongozi wa Halmashauri kusimamia Majukumu ya vizuri na kugawa raslimali zote Kwa...

TUUNGANE KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU – WAZIRI MKUU

0
Awataka Ma-DC wasimamie fedha za ununuzi wa dawa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi waungane na Serikali na wadau wa maendeleo kutokomeza ugonjwa wa kifua...

TANZANIA NA MAREKANI ZAKUBALIANA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE UTALII NCHINI.

0
Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa leo Machi 23, 2023 amekutana na ujumbe wa Serikali ya Marekani ulioongozwa na...
MIKOA, KUSHIRIKI, MASHINDANO

MIKOA 26 KUSHIRIKI MASHINDANO YA KUHIFADHI NA KUSOMA QUR’AN

0
Na. Magrethy Katengu Watanzania wote bila kuangalia itikadi zao za kidini nchini Wameshauriwa kushiriki kwa wingi katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an yanayotarajiwa kufanyika Machi 26...

MEJA JENERALI MBUGE “MIKOA IANZISHE TIMU YA WATAALAM YA KUKABILIANA NA MAAFA”

0
Na Mwandishi wetu- Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Charles Mbuge amewataka Wataalam kuanzisha Timu Mtambuka ya...
TAMASHA, PASAKA, KUMSHUKURU

TAMASHA LA SIKUKUU YA PASAKA KUMSHUKURU MUNGU KWA UONGOZI WA RAIS DKT SAMIA HASSANI

0
Na Magrethy Katengu MKURUGENZI wa Msama Promotion Alex Msama amesema maandalizi ya Tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 9, 2023 viwanja vya Leaders Club jijini Dar...

Mazingira Wezeshi kwa Wawekezaji Yafikisha Viwanda 1,522 Pwani

0
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Serikali inaendelea kuhakikisha kuwa inaweka mazingira wezeshi ambayo yanawawezesha wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wote wa taasisi binafsi kuweza kufanya biashara...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA