KATIBU MKUU DKT. JINGU AHIMIZA UFANISI UJENZI WA MJI WA SERIKALI
NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu azitaka Wizara zote kuhakikisha zinasimamia ufanisi...
OSHA YAJIPANGA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI
Na Mwandishi Wetu
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeelezea nia yake ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini kupitia uimarishaji...
MBUNGE WA GEITA MJINI CONSTANTINE KANYASU ATOA MILIONI 30 KUDHAMINI LIGI DARAJA LA NNE...
Na.:Costantine James, Geita.
Katika hali ya kuibua, kuendeleza na kukuza vipaji kwa vijana mbalimbali mkoani Geita mbunge wa jimbo la Geita mjini Mhe, Constantine Kanyasu...
VIKUNDI 32 KUNOGESHA TAMASHA LA 13 LA MUZIKI WA KIGOGO 2022
Na: Mwandishi Wetu, Chamwino.
ZAIDI ya vikundi 32 vya Sanaa ya ngoma vinatarajia kushiriki Tamasha la msimu wa 13 la muziki wa Wagogo (Cigogo Music...
DAR KUJA NA KAMPENI YA UFANYAJI WA USAFI KIVINGINE
NA: MUSSA KHALID
Mkoa wa Dar es salaam umeanzisha mbinu mpya ya ufanyaji wa usafi kwenye barabara zote zinazozunguka mji huo kuanzia July 30 mwaka...
WAZIRI BASHUNGWA AWATAKA WALIMU KUJIWEKEENI MALENGO BINAFSI YA UFUNDISHAJI NA UFAULISHAJI.
Na: Silvia Mchuruza,Karagwe, Kagera.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa walimu wote...
MADAKTARI NA WATOA HUDUMA WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI NA MAADILI
Na. Catherine Sungura, Siha
Madaktari na watoa huduma wote nchini wametakiwa kuendelea kuwa wenye upendo, kujituma, kujitoa na kuzingatia weledi na maadili ya tasnia ya...
UNFPA WAKABIDHI VIFAA TIBA, KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
Na Magreth Mbinga
Bohari ya dawa MSD wametakiwa kuhakikisha dawa ambazo zinatolewa zifike vituoni na walio vitioni!! kuhakikisha zinawafikia wananchi ndio dhumuni la Serikali ya...













