Home Kitaifa RAIS DK.MWINYI AENDELEA NA ZIARA MKOANI MJINI MAGHARIBI Kitaifa RAIS DK.MWINYI AENDELEA NA ZIARA MKOANI MJINI MAGHARIBI By Joseph Nelson - July 18, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wavuvi, wakulima wa mwani pamoja na Wananchi mara baada ya kukabidhi vifaa vya Uvuvi akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bibi.Bimkuwa Nassor (kulia) mwakilishi wa kikundi cha wakulima wa Mwani “SUBIRA NZURI” mara baada ya kukabidhi vifaa vya Uvuvi pamoja na boti za kupakilia mwani akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.