Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA ROMBO

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA ROMBO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti katika eneo la Hospitali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika Hospitali hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akicheza ngoma ya kikundi cha msanja kutoka kata ya Njoro Manispaa ya Moshi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga mkoani Kilimanjaro.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!