TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI NA UPONYAJI KUBADILISHA WATU KUOKOLEWA KUTOKA VIFUNGO VYA SHETANI
Na Magrethy Katengu
Mwinjilisti wa kimataifa kutoka nchini Canada Dkt Peter Youngreen amekuja kufanya Mahubiri makubwa katika Tamasha kubwa la Uimbaji na uponyaji kuanza leo...
MABINTI ZAIDI YA 900 TANGA WANUFAIKA NA MRADI WA ELIMU BRAC TANZANIA
Na Boniface Gideon, TANGA
Zaidi ya Wasichana 900 ambao hawakufanikiwa kupata Elimu katika mfumo maalumu wa Elimu ya upili ( Sekondari) wamefanikiwa kupata Elimu hiyo...
KWA MARA YA KWANZA SERIKALI SASA KUPATA 75% YA MAPATO YA MAFUTA NA GESI
Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA.
Mkataba huu unaweka utaratibu wa...
WANANCHI KIJIJI CHA KIMALA WATAKIWA KUCHANGIA HUDUMA YA MAJI
Mkurugenzi wa usambazaji maji safi na usafi wa mazingira kutoka Wizara ya Maji CPA. Joyce Msiru amewaasa wananchi wa Kimala Wilayani Kilolo Iringa kutunza...
BRELA, WADAU WAPITIA RASIMU YA KANUNI ZA WAMILIKI MANUFAA WA MAJINA YA BIASHARA
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Mawakili, Wanasheria, Wahasibu na Washauri wa Biashara, ili kupitia rasimu ya kanuni za Wamiliki...
MAJI YA KIMATAIFA YATUMIKE KULETA MAENDELEO-MHE. KADUARA
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shahibu Hassan Kaduara amewataka watumiaji wa maji ya kimataifa kuwa waangalifu na wayatumie...
TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM ( DIT ) YASAINI MAKUBALIANO YA KUENDESHA MAFUNZO...
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), imesaini makubalino ya kuendesha mafunzo ya pamoja na Taasisi ya Chongqing Vocation Institute of Engineering (CQVIE) ya...
KAMPUNI YA BARRON YAWASILISHA MSAADA WA VIATU KWA WATOTO WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani leo tarehe 1 Disemba 2022 Kampuni ya Barron ambao ni wazalishaji na wauzaji...
WAZIRI NDALICHAKO – NCHI ZA SADC KUWEZESHA KULINDWA HAKI ZA WAHAMAJI KAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof, Joyce Ndalichako amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya...
WAZIRI SIMBACHAWENE AZINDUA PROGRAM YA EDUCATION PLUS
NA. MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene azindua program ya education plus...













