WAZIRI MKUU: ANZISHENI MAJUKWAA YA KIUCHUMI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano...
WAZIRI MBARAWA AFUNGUA BARABARA YA JUU KURAHISISHA SHUGHULI ZA UJENZI
Na Magreth Mbinga
"Leo tupo hapa kuhakikisha tunafungua upande wa pili wa barabara hii ili kuruhusu magari yaweze kupita na hii itakuwa zawadi kubwa kwa...
KATAVI WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU, KITUO CHA AFYA MAJIMOTO CHAANZA KUTOA HUDUMA.
Na: OMM-KataviĀ
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoani Katavi imetekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa la...
WATUHUMIWA 1942 WA WIZI WA MIFUGO WAKAMATWA NCHINI
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi
ARUSHA-TANZANIA
Jeshi la Polisi Kupitia kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo Nchini limewakamata watuhumiwa 1942 wa...
Dc: Watakao shindwa kuwapeleka shule watoto wao kukiona cha moto .
ANNA RUHASHA Mwanza.Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Senyi Ngaga amewatahadhalisha wazazi na walezi watakaokaidi kuwapeleka watoto waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza 2023 watachukuliwa hatua...
MADEREVA WANAOENDESHA VYOMBO VYA MOTO WAKIWA WAMELEWA WAPEWA ONYO
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi
ARUSHA-TANZANIAMadereva wanaotumia vyombo vya moto wakiwa wamelewa katika Mkoa wa Arusha kuchukuliwa hatua kali za kisheria endapo watabainika...
TAMISEMI YATOA MWONGOZO WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2023
Na Mercy Maimu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. RIZIKI SHEMDOE amesema hakutakua na uhamisho wa...
WAZIRI JAFO AATAKA WANANCHI KUTUNZA MIRADI
**** PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ****
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka...
WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MWANZA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA UMOJA WAO
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza ( MPC ) imefanya Mkutano Mkuu Maalum wa Mwaka 2022 ikiwa ni utaratibu wa kufanya mkutano...












