WADAU WANACHAMA WANAOTUMIA USAFIRI WA BAHARI KUTOKA NCHI 15 AFRIKA WAKUTANA KUJADILI UDHIBITI MAZINGIRA...
NA Magrethy Katengu
Imeelezwa kuwa Ili kusaidia mazingira ya maji ya bahari yanatuzwa vizuri wadau wa mazingira kutoka nchi mwanachama 15 wa Afrika wameshiriki katika...
WAZIRI MKUU AAGIZA HOSPITALI YA KATAVI IANZE KUTOA HUDUMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dkt. Patrice Serafin ahakikishe ifikapo Januari Mosi , 2023...
WAZIRI SIMBACHAWENE, APOKEA MCHANGO WA MADAWATI
Na mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amepongeza vijana waliojiunga katika Kikundi cha Kisima umoja...
WANANCHI WATAKIWA KUFUATA TARATIBU NA MIONGOZO YA AFYA.
https://youtu.be/76SNxhSYPck
Na ZIANA BAKARIWIZARA ya Afya imewataka wananchi kufuata taratibu na miongozo ya Afya ili kuepuka na magonjwa ya mlipuko ambayo yatawaletea matatizo makubwa endapo...







