Friday, June 26, 2026
Home 2022 December 22

Daily Archives: December 22, 2022

WAZAZI WAASWA KUWEKA MSUKUMO WA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA   SHULENI...

0
Na. Faustine Gimu, Elimu ya Afya kwa Umma. Wazazi wameaswa kuweka msukumo wa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana  walioko shuleni ili kuwajengea afya...

WATU 11 MBARONI KWA TUHUMA ZA UHALIFU MITANDAONI

0
https://youtu.be/DFNLKsM8Z9I Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao...

Rais Samia Atoa maagizo kwa Wizara 5 Utunzaji wa Mazingira

0
Na. Beatrice Sanga- MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara 5 za Kisekta Nchini ikiwemo Kilimo, Uvuvi, Maji...

MACHINGA MKOA WA DAR ES SALAAM WAISHUKURU SERIKALI KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA

0
Na Magrethy Katengu Chama Cha Wafanyabiashara ndogondogo Maarufu kama Wamachinga Mkoa wa Dar es salaam wameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa jitihada za kuwaboreshea...

MATAWI 197 YA UMOJA WA WAZAZI CCM YAPATA KADI NA MIHULI

0
Jumla ya matawi ya Jumuiya ya wWazazi CCM 197 wilayani Sengerema mkoani Mwanza yameondokana na ukosefu wa mihuli na kadi za jumuiya hiyo baada...