PROF. MKENDA AWAFUNDA WAHITIMU , MAHAFALI YA DIT MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema mafanikio katika maisha hayategemei tu elimu ambayo wanafunzi wanaipata bali namna ambavyo watajituma.
Prof. Mkenda...
WASHINDI WA WAKISHUA WAREJEA NCHINI BAADA YA KUSHUHUDIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA
Alhamisi ya Desemba 8, 2022, Washindi wa Promosheni ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense , wamerejea nchini Tanzania wakitokea Qatar kushuhudia baadhi ya mechi...
RAIS WA JAMHURI YA WATU WA SAHRAWI ATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Sahrawi, Mhe. Brahim Ghali leo amefanya ziara ndogo katika mji wa Serikali Mtumba ambapo alitembelea jengo...
JESHI LA POLISI LAMNASA MTUHUMIWA WA MAUAJI DAR ES SALAAM
Na Mercy Maimu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mfanyabiashara mmoja kwa tuhuma za kumuua Salum Ally aliyekuwa mlinzi wake ambae...
NUNUA CAMON 19 AU SPARK 9 UJISHINDIE PIKIPIKI MPYA.
Je unauonaje msimu wa sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa kuumaliza Mwaka 2022 ukiwa...
TANZANIA MWENYEJI MAONYESHO YA EAST AFRICA PHARMA HEALTHCARE SHOW
Na Magreth Mbinga
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Maonyesho makubwa ya sekta ya dawa na huduma za afya East Africa Pharma Healthcare Show ambayo yatahudhuliwa...
TPSF YAKUTANA NA WADAU KUJADILI MATUMIZI SALAMA MALIASILI KATIKA SEKTA BINAFSI. Boniface Gideon, TANGA
Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TSPF)Imekutana kwa Siku tatu na Wadau mbalimbali wa Sekta Binafsi na Serikali kwenye mdahahalo ulioandaliwa na Taasisi hiyo wenye...
WAOKAJI WATAKIWA KUJALI WATEJA WENYE MZIO
WAOKAJI wa vitafunwa watakiwa kujisajili ili serikali iwape vipaumbele mbalimbali ikiwemo mikopo ili kupanua biashara pamoja na kupata fursa za kibiashara.
Akizungumza wakati wa kufungua...











