SERIKALI YATAMBULISHA PROGRAMU KUISAIDIA JAMII KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
Ofisi ya Makamu wa Rais imefanya Kikao kazi cha kutambulisha Programu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuendeleza Mitaji kwa ajili ya Maendeleo...
MAONI YAKUSANYWA KUHAKIKISHA MPANGO WA KITAIFA WA KUMLINDA MWANAMKE UNAPATA SULUHISHO LAKE
Taasisi ya The Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na UN Women na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia , wanawake na makundi maalumu imekutana...
Kiwanda cha magari cha GF Vehicles Assemblers (GFA) cha shinda tuzo ya Ubora 20222023...
Na mwandishi wetu
Kiwanda cha kwanza cha kutengeneza na kuunganisha magari nchini Tanzania GF cha Vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwan kimeibuka mshindi wa...
WAZIRI MKENDA AHIMIZA MWISHO WA MWEZI JANUARI 2023 UJENZI WA VETA WILAYA ZOTE UWE...
Na Mathias Canal, Dodoma
Katika Bajeti iliyopitishwa Bungeni Jijini Dodoma ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya mwaka 2022/2023 serikali imetenga jumla ya Bilioni...
Mawaziri wakutana kuimarisha mikakati ya Kupambana na ukatili wa kijinsia kwa watoto
Na Mwandishi wetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ahimiza ushirikishwaji wa wadau wote katika kuunganisha nguvu...
MBUNGE DITOPILE AKABIDHI PIKIPIKI KATA ZOTE KONDOA MJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekabidhi Pikipiki Nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma zenye...
DCEA yateketeza kilo 1543 za madawa ya kulevya.
Na Hadia Khamis,Mamlaka ya kupambana na kuzuia Dawa za Kulevya nchini DCEA imeteketeza Dawa mbalimbali za kulevya takribani Kilogram 1543 katika kiwanda Cha Saruji...
HAKUNA MRADI UTAKAO SIMAMA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA: BASHUNGWA
Karagwe - Kagera
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
NAIBU WAZIRI MASANJA ASHAURI MFUMO WA AJIRA ZA WALIMU UBORESHWE KUKABILIANA NA UHABA WA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa mapendekezo ya kuboreshwa kwa mfumo wa ajira za walimu wa shule za msingi...












