Friday, June 26, 2026
Home 2022 December 1

Daily Archives: December 1, 2022

WANANCHI KIJIJI CHA KIMALA WATAKIWA KUCHANGIA HUDUMA YA MAJI

0
Mkurugenzi wa usambazaji maji safi na usafi wa mazingira kutoka Wizara ya Maji CPA. Joyce Msiru amewaasa wananchi wa Kimala Wilayani Kilolo Iringa kutunza...

BRELA, WADAU WAPITIA RASIMU YA KANUNI ZA WAMILIKI MANUFAA WA MAJINA YA BIASHARA

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Mawakili, Wanasheria, Wahasibu na Washauri wa Biashara, ili kupitia rasimu ya kanuni za Wamiliki...

MAJI YA KIMATAIFA YATUMIKE KULETA MAENDELEO-MHE. KADUARA

0
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shahibu Hassan Kaduara amewataka watumiaji wa maji ya kimataifa kuwa waangalifu na wayatumie...

TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM ( DIT ) YASAINI MAKUBALIANO YA KUENDESHA MAFUNZO...

0
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), imesaini makubalino ya kuendesha mafunzo ya pamoja na Taasisi ya Chongqing Vocation Institute of Engineering (CQVIE) ya...

KAMPUNI YA BARRON YAWASILISHA MSAADA WA VIATU KWA WATOTO WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI

0
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani leo tarehe 1 Disemba 2022 Kampuni ya Barron ambao ni wazalishaji na wauzaji...

WAZIRI NDALICHAKO – NCHI ZA SADC KUWEZESHA KULINDWA HAKI ZA WAHAMAJI KAZI

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof, Joyce Ndalichako amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya...

WAZIRI SIMBACHAWENE AZINDUA PROGRAM YA EDUCATION PLUS

0
NA. MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene azindua program ya education plus...