Friday, June 26, 2026
Home 2022 December 13

Daily Archives: December 13, 2022

WANAFUNZI WATAKIWA KUWA WAZI KWA VIONGOZI WAO NA WATU WAO WA KARIBU

0
https://youtu.be/vnWzR9woChM MAKAMU Mkuu wa Chuo, William Anangisye, amewataka wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam, kuwa wazi kwa viongozi wao na watu wao wa...

SERIKALI IMEENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI

0
NA.MWADISHI WETU Serikali imeendelea kuimarisha uratibu katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja kwa kushirikiana na wadau wote wa Afya na wadau wa maendeleo kwa...

DKT. BITEKO AIGOMEA TAARIFA YA MGODI WA GEITA

0
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameikataa taarifa ya Mgodi wa Geita Gold Mine Limited (GGML) ambayo haijabainisha mahitaji ya ardhi katika leseni yake...

WAKUFUNZI MASUALA YA WENYE ULEMAVU WANOLEWA STADI ZA MAISHA

0
Na: Mwandishi Wetu – MWANZA Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeendelea kutoa elimu ya Stadi za Maisha...

Waziri Simbachawene , atoa wito wananchi kuacha kujihusisha na Uvuvi haramu

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa rai kwa wananchi wa Mtera kuacha kutumia...

Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Kuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa...