SERIKALI YATOA SHILINGI MILIONI 50 KUMALIZA UJENZI WA ZAHANATI MTUMILE
Na Mwandishi wetu.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeahidi kutoa fedha ili kumalizia ujenzi wa boma la zahanati...
DHANA YA AFYA MOJA KUSHIRIKISHA WENYE ULEMAVU
NA. MWANDISHI WETU
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Mission for Illiteracy and Poverty Alleviation (TAMIPA) Bw. Martin Kidudu amesema kundi la wenye ulemavu litaendelea kushirikishwa...
TAMASHA LA VIJANA WA VYUO VIKUU KUKUSANYA VIJANA TAKRIBANI ELFU 30
Na. Magreth Mbinga
Umoja wa vijana wa vyuo vikuu Jimbo kuu la Dar es Salaam wameandaa mkesha mkubwa uliobeba jina la usiku wa sifa wenye...
SERIKALI YAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA MASHIRIKA BINAFSI
Na Mercy Maimu
Naibu Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya watu na mashirika binafsi ambayo yapo...
WAKUFUNZI NA WATENDAJI WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU WAPATIWA MAFUNZO YA STADI ZA...
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Maendeleo ya Vijana inaratibu Programu ya Stadi za Maisha (Life...
MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA MIRADI YA AFYA SUMBAWANGA
Aagiza TAKUKURU iharakishe uchunguzi wa matumizi ya fedha katika mradi hiyo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali...
BEN POL AACHIA KIBAO CHA KUFUNGIA MWAKA
MSANII nguli wa Muziki wa R&B hapa nchini Behnam Paul maarufu kama Ben Pol ameachia kibao kipya kinachofahamika kama Nyumbani.
Katika wimbo wa Nyumbani Ben...
WADAU, WATAALAMU WA AFYA WAKUTANA KUFANYA TATHMINI PROGRAMU UTOAJI ELIMU YA AFYA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Wataalamu na wadau wa Afya wamekutana Jijini Tanga kwa ajili ya kutathminiprogramu ya Wadau wa utoaji wa Elimu ya Afya kwa...
WAZIRI SIMBACHAWENE AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MAZINGIRA
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza wananchi kuendelea kulinda na kutunza mazingira na...
MWAROBAINI WACHEMSHWA KUDHIBITI UPANGAJI NAULI HOLELA MADEREVA TAX
Na Magrethy Katengu .
Mamlaka ya udhibiti usafiri wa Ardhini (LATRA) imesema kabla ya kufika mwezi Juni mwaka 2023 Wanaosafirisha abiria kwa Tax tayari magari...













