BAADHI YA VIONGOZI WANAOCHANGIA KATIKA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI KUACHA MARA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewataka baadhi ya viongozi wanaochangia katika uharibifu wa mazingira na vyanzo vya...
TANROADS YATENGA BILIONI 17.8 MIRADI YA BARABARA DODOMA
Wakala wa Barabara nchini Mkoa wa Dodoma imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 17.8 kwa ajili ya ujenzi wa barabara zenye jumla ya urefu wa...
TUVUNJE UKIMYA ,TUZUNGUMZE NA WATOTO KUHUSU AFYA YA UZAZI-DKT.NDOSSI.
Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa UmmaMorogoro.
Wazazi wameaswa kuvunja ukimya na badala yake waweze kuzungumza na vijana wao kuhusu afya ya uzazi ili kuepusha madhara...
WAZIRI MKUU APOKEA MAGARI 51 KUTOKA UJERUMANI
*Ni ya mradi wa msaada wa dharura kuboresha shughuli za utalii na uhifadhi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea magari 51 ambayo ni sehemu ya utekelezaji...
WaKANDARASI WENYE MISAMAHA YA KODI ZIJUMLISHWE NA KODI NYINGINEZO KURAHISISHA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) amekishauri kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa kwamba Mkandarasi anapopata msamaha wa kodi ya ongezeko...








