NMB YAANZISHA UFUNGUAJI AKAUNTI NDANI YA DAKIKA MBILI
Na Mwandishi WetuZama mpya ya huduma za kibenki imejiri nchini baada ya Benki ya NMB jana kuzindua suluhisho ya kisasa inayomwezesha mteja kufungua akaunti...
WAKUU WA MIKOA HAKIKISHENI MBOLEA INAWAFIKIA WAKULIMA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa kote nchini wahakikishe kunakuwa na idadi ya kutosha ya mawakala wa pembejeo za kilimo katika maeneo...
“UZALENDO NI TUNU KWA TAIFA” KATIBU MKUU MMUYA
Na Mwandishi wetu- Mara
Wasomi na vijana wamekumbushwa umuhimu wa kuwa wazalendo, kujenga ,kuiendeleza na kuilinda Nchi na watu wake kwaajili ya maslahi ya Maendeleo...
SERIKALI YAONGEZA BAJETI YA MIKOPO ELIMU YA JUU
Na. Magreth Mbinga
Serikali imeongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia shilingi 654 bilioni kutoka shilingi 570 bilioni za awali, sawa na...
DKT. KIRUSWA AWATAKA WACHIMBAJI WADOGO LINDI KUTOJIHUSISHA NA UTOROSHAJI MADINI
Na.Samwel Mtuwa- Ruangwa.
Naibu Waziri wa Madini ameyasema hayo leo Desemba 13 , 2022 katika hafla ya uzinduzi wa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa Mkoa...
RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA HAKI ZA BINADAMU YAZINDULIWA JIJINI DAR ES...
.Na Magrethy Katengu
Mtandao wa Jinsia Elimu Mabadiliko ya Tabia ya nchi Umesema Makundi ya Wanawake,watoto wazee na vijana wa katika kipindi hiki kigumu ambapo...
IGP WAMBURA 23739 WAFANYIWA UKATILI
Na Mercy Maimu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoa huduma bora kwa wahanga...
“UTAFITI WA MBEGU UZINGATIE HALI YA HEWA” DK. JINGU
NA MWANDISHI WETU - DODOMA
Watafiti wa masuala ya kilimo nchini wametakiwa kutumia matokeo ya utafiti wao wanaofanya katika kuboresha mbegu bora za mazao zinazoendana...











