Friday, June 26, 2026
Home 2022 December

Monthly Archives: December 2022

WATUMISHI BRELA WAFUNDISHWA MATUMIZI SAHIHI YA TEHAMA, MAADILI

0
Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wamejengewa uwezo kuhusu matumizi sahihi ya TEHAMA pamoja na Maadili kwa Watumishi wa Umma,...

SENDIGA ARIDHISHWA NA UJENZI WA MADARASA MANISPAA YA SUMBAWANGA

0
https://youtu.be/2ZJG_grPkV8 Na. OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi vyumba  Hamsini (50) vya madarasa kwenye shule za...

DKT. PHILIP MPANGO AMEKEMEA VITENDO VYA UNYANYASAJI NA UKATILI KATIKA MAENEO YA KAZI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekemea vitendo vya uonevu, unyanyasaji na ukatili katika maeneo ya kazi...

WAMILIKI WA KAMPUNI NA TAASISI BINAFSI WATAKIWA KUHAMASISHA NA KUZIPATIA OZOEFU KAMPUNI ZINAZOCHIPUKIA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wamiliki wa kampuni na taasisi binafsi nchini kuhamasisha...

SERIKALI KUJA NA MAELEKEZO KUIMARISHA UTENDAJI KAZI OFISI ZA KONGA

0
Na Mwandishi wetu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema serikali itatoa maelekezo kwa Halmashauri kuweka mipango...

BRELA YAPATA TUZO YA TPSF

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zilizotambuliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) katika siku...

WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI WATAKIWA KUWAJIBIKAJI HUDUMA KWA JAMII

0
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wamiliki wa leseni za madini nchini kuchangia huduma kwa jamii inayozunguka mgodi ambapo amesema Sheria ya Madini...

TIGO WATOA MILIONI 8 NA BIDHAA ZA Hisense KWA WASHINDI WA WIKI YA KWANZA...

0
Meneja wa Biashara  Tigo Pesa Bi. Restuta Kedmond ( kushoto ) akikabidhi mfano mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni Moja kwa baadhi ya Washindi wa...

TANESCO WAONGEZA MEGAWATTS 135 KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA UMEME

0
Na Magreth Mbinga Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Linaendelea kufanya jitihada za muda mfupi na za muda wa kati katika kukabiliana na tatizo...

ZIARA YA MTENDAJI MKUU TARURA YALETA FARAJA KWA WANANCHI- KALIUA

0
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff ameleta faraja kwa wakazi wa Wilaya ya Kaliua mkoani...