Friday, July 17, 2026
Home 2026 June

Monthly Archives: June 2026

SERIKALI YAZITAKA SHULE BINAFSI KUUNGA MKONO MAGEUZI YA ELIMU

0
SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza...

DKT. SHEKALAGHE AWATAKA WADAU KUENDELEA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA VIFO VYA MAMA NA...

0
Na Abdu Madenge, WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo kuendelea kuunga...

STAMICO YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA TUZO ZA ACOYA 2026

0
DAR ES SALAAM Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeendelea kuthibitisha ubora wake barani Afrika baada ya kutwaa tuzo mbili muhimu katika Tuzo za Kampuni...

WAZIRI SANGU: MSHIKAMANO NA AMANI NDIO NGUZO YA MAENDELEO YA TAIFA

0
Na: OWM-KAM, Mwanza Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuendeleza mshikamano, umoja na amani kwa kuwa ni nguzo muhimu zinazowezesha taifa kufikia maendeleo endelevu ya kiuchumi...

SERIKALI YASISITIZA USIMAMIZI BORA WA MALI ZA UMMA KUPITIA GAMIS

0
Na. Josephine Majura, WF, PWANI Serikali imezitaka taasisi zote za umma nchini kuimarisha usimamizi wa mali za Serikali kwa kuhakikisha taarifa zote za mali zinaingizwa...

TANZANIA YAUNGA MKONO MKATABA MPYA WA KIMATAIFA WA KULINDA WAFANYAKAZI WA MTANDAONI

0
Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswisi Ujumbe wa Tanzania umeunga mkono Mkataba mpya wa Kimataifa unaolenga kulinda haki, usalama na ustawi wa Wafanyakazi wa Mtandaoni...

NACONGO KUANDAA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI DODOMA

0
Na Magrethy Katengu--Mzawa MediaDar es salaam Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) linatarajia kufanya Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali...

DCEA YAZINDUA FILAMU YA ‘KIFURUSHI’ KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULEVYA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Tume ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imezindua filamu ya “Kifurushi” itakayooneshwa katika mabasi yanayosafiri mikoa...

DKT MKILIA : ” USAJILI WA LAZIMA WAANZA , TUME YA ULINZI WA TAARIFA...

0
 Na Mwandishi Wetu. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, ametoa wito kwa taasisi zote zinazokusanya au kuchakata taarifa...

WATAALAMU WAAGIZWA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP

0
Na; Mwandishi Wetu - Chato Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Mohammed Ali Sheikh, Ametoa wito kwa wataalam kutoka katika Sekta zinazotekeleza...