Friday, July 17, 2026
Home 2026 June

Monthly Archives: June 2026

WATAALAMU FCC NA ZFCT WAJADILI CHANGAMOTO NA FURSA ZA USHINDANI WA BIASHARA

0
Na Mwandishi Wetu Baraza la Ushindani Halali Zanzibar (ZFCT) limefanya ziara ya mafunzo katika Tume ya Ushindani ya Haki (FCC) kwa lengo la kujifunza na...

TANZANIA YAELEZA MAFANIKIO YA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU COSP19, YAAHIDI KUIMARISHA UPATIKANAJI WA...

0
Na Mwandishi Wetu, New York, Marekani Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu...

WAKULIMA WA PAMBA IGUNGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUNGUA AKAUNTI

0
Wakulima wa zao la pamba kutoka vijiji vya Mbutu, Iyogelo, Ilambakuki, Imalanguzu na Mwamakoma vilivyopo katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora, wamehamasika kufungua...

WALIOCHELEWA KURIPOTI JKT WAONGEZEWA MUDA HADI JUNI 15

0
Mkuu wa Tawi la Operation na Mafunzo wa JKT, Brigedia Jenerali Peter Mnyani,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 12,2026 katika Mako Makuu ya...

SERIKALI YASISITIZA NAFASI YA UTAFITI KATIKA KUJENGA UCHUMI WA MAARIFA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Serikali imesisitiza umuhimu wa kuimarisha elimu, utafiti na ubunifu kama nguzo muhimu za kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa...

RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NCHINI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi na wadau mbalimbali wa...

GAVANA TUTUBA: MIGOGORO YA MASHARIKI YA KATI YAONGEZA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI SADC

0
MAGAVANA wa Benki Kuu za nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati ya kukabiliana...

ZIARA YA RAIS SAMIA URUSI YAZAA MATUNDA, WANAFUNZI KUNUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO NA...

0
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesaini hati tatu za makubaliano ya ushirikiano wa kielimu na Urusi zitakazowezesha kubadilishana wataalamu, kuendeleza tafiti...

BAJETI YA 2026/27 KUIJENGA TANZANIA YA DIRA YA 2050

0
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya...

DKT. MAULID ASISITIZA UONGOZI WA KIMKAKATI KWENYE USIMAMIZI WA SEKTA YA ELIMU

0
Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt Maulid J. Maulid leo umefungua Mafunzo ya Uongozi wa Kimkakati (Strategic Leadership) kwa viongozi wa shule za sekondari wa...