Mkoa wa Mwanza unahitaji sana Busara za wazee – RC Malima
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima amewahakikishia wazee mkoani humo kuwa Serikali itaendelea kuboresha maisha yao kupitia huduma bora za jamii kwa...
ACT WAZALENDO WAITAKA SERIKALI KUWEKA MIKAKATI KUHAMI MAISHA YA WATU
Na Magreth Mbinga
Chama Cha ACT WAZALENDO kimesema Serikali imetekeleza baadhi ya mapendekezo ambayo waliyapendekeza ikiwemo kutoa ruzuku ya mbolea, kuondoa kodi kwenye mafuta ya...
MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza...
MACHINGA KINONDONI; SERIKALI IINGILIE KATI WANAOJIMILIKISHA MEZA ZAIDI YA MOJA
Na Magrethy Katengu
Wafanyabiashara ndogo ndogo (MACHINGA) Wilaya ya Kinondoni waiomba Serikali kuingilia kati kitendo kinachofanywa na baadhi ya Wafanyabiashara wakubwa kuhodhi eneo zaidi ya...
MAJENGO UNITED MABINGWA MACHUPA SUPER CUP 2022
Na Boniface Gideon, TANGA
Kilele Cha Mashindano ya mpira wa Miguu Jijini Tanga Machupa supper cup yamehitimishwa Jana Disemba 27 kwa Timu ya Majengo United...
TIC YASAJILI MIRADI 132 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA BILIONI 3.16
https://youtu.be/SahdNmf3B7I
Kituo cha Uwekezaji Tanzanzia (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 sawa na ongezeko la asilimia 22.2 ikilinganishwa na miradi 108 iliyosajiliwa katika kipindi cha...
SERIKALI KUJA NA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUMUONA DAKTARI
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuja na mwongozo wa gharama za kumuona Daktari katika Vituo vya kutolea huduma za Afya vya Umma nchini...
WAZIRI MKUU AAGIZA WAKUU WA WILAYA KUKUTANA NA WAFUGAJI
*Pia asisitiza vikao vya pamoja vya maridhiano ya wakulima na wafugaji
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Wakuu wa Wilaya kuitisha vikao na wafugaji ili kujadiliana...
FEI TOTO: KWAHERINI WANANCHI
Na. Mercy Maimu
NYOTA wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' amewaaga rasmi mashabiki wa timu hiyo huku ikielezwa anajiunga na Azam FC Kupitia...
JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LAPIGA MARUFUKU DISCO TOTO
Katika kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limepiga marufuku Disco toto katika kusherehea Sikukuu ya Mwaka Mpya na Christmas...













