CBE YATOA UJUZI WA BIASHARA NA USAFIRISHAJI, YAFUNGUA FURSA ZA AJIRA
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeendelea kutoa mafunzo yanayolenga kuimarisha uwezo wa wajasiriamali na wataalamu wa sekta ya usafirishaji kupitia kozi fupi na...
FCC YAANZA MPANGO WA KLABU ZA USHINDANI MASHULENI
Tume ya Ushindani (FCC) imesema imeanza mpango wa kuanzisha klabu za elimu ya ushindani, ulinzi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika shule...
SERIKALI YATUMIA PPP KUCHOCHEA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
Serikali imeendelea kutumia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kama nyenzo muhimu ya kuharakisha utekelezaji wa miradi mikubwa...
WATAALAMU WAHIMIZA KUIMARISHWA KWA UMATAIFISHAJI WA ELIMU YA JUU TANZANIA
Vyuo vikuu nchini vinapaswa kuifanya agenda ya umataifishaji kuwa sehemu ya mikakati yake ya msingi kwa kuijumuisha katika ufundishaji, utafiti, ubunifu na huduma kwa...
TBS YAJIPANGA KIDIGITALI, YAIMARISHA MAABARA KWA SOKO LA DUNIA
Na.Alex Sonna-DODOMA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepongezwa kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, huku likitakiwa kuendelea kwenda sambamba...
WAZIRI SANGU: SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KUJENGA AMANI NA MAENDELEO...
SERIKALI imeendelea kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kidini nchini katika kuimarisha amani, mshikamano na maendeleo ya taifa.
Amesema hayo Waziri wa Nchi Ofisi...
WRRB YAFUNGUA UKURASA MPYA KWA WAFUGAJI KUPITIA STAKABADHI ZA GHALA
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko...
MADEREVA WANAOSAFIRISHA KEMIKALI WAZINGATIE MAFUNZO
NA Oscar Nkembo
Msimamizi wa Dawati la Ukaguzi wa Kemikali wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Ofisi ya Kanda ya Kati, Suitbert...
NEMC YACHOCHEA UWAJIBIKAJI JUMUISHI: SEKTA YA MAZINGIRA
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaendelea kuhimiza ushiriki wa wadau mbalimbali katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira, likieleza kuwa...
WALIPAKODI MCHIKICHINI WAPONGEZWA KWA MCHANGO WAO KATIKA MIAKA 30 YA MAFANIKIO YA TRA
Kariakoo, 18 Juni, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Kariakoo imewapongeza walipakodi wa eneo la Mchikichini kwa mchango wao mkubwa ambao umekuwa...













