WAAJIRI WANAOZINGATIA SHERIA ZA KAZI WAPONGEZWA
Na OWM-KAM, Mwanza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu, amepongeza waajiri nchini wanaotekeleza wajibu wao kwa kuzingatia...
SERA YA MNYORORO WA UGAVI KULETA UFANISI NA THAMANI YA FEDHA ZA UMMA
Serikali imeanza kutumia Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025, hatua inayolenga kufungamanisha na kuboresha usimamizi wa shughuli za...
MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, amepongeza ufanisi na uwazi wa Mfumo wa Uagizaji Mafuta...
TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA, ULINZI WA AFYA WAIMARISHWA
Tanzania inaendelea kuwa salama dhidi ya ugonjwa wa Ebola, huku Serikali ikisisitiza kuwa hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na maambukizi hayo nchini. Mamlaka za afya...
TAFITI ZENYE MCHANGO KWA TAIFA KUPATA TUZO KUBWA ZA SERIKALI
Na.Alex Sonna-DODOMA
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amezindua dirisha la maombi ya Tuzo za nne za Utafiti kwa Watafiti Waliochapisha Matokeo ya...
ELIMU YA VIPIMO YAWAVUTIA WANANCHI, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA KUJITOLEA
*Dodoma* – “Sasa najua ni nini ninapaswa kuangalia ninapojaza mafuta, kununua sukari au hata ninaponunua gesi ya kupikia.” Ni kauli ya Bw. Bilson Vedastus,...
RIDHIWANI: TEA INA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa...
SANGU :MAHUSIANO MEMA NI MSINGI WA KUIMARISHA UMOJA NA DEMOKRASIA NCHINI
Na. OWM (KAM), Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na...
WADAU WA MADINI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KUONGEZA MANUFAA KWA TAIFA
-DODOMA
Wadau wa Sekta ya Madini wamehimizwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia shughuli za madini ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kuchangia maendeleo ya taifa...
TANZANIA KUTUMIA TAKWIMU KUHARAKISHA USTAWI WA WANANCHI
Na.Alex Sonna-DODOMA
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema takwimu rasmi zitaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo...













