WEKUNDU WA MSIMBAZI WAIBUKA VINARA WA KUNDI A KWA ALAMA 13
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imefuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo baada ya kuichapa timu ya CS Constantine mabao 2-0 katika...
DKT. SAMIA NA DKT. MWINYI WAPITISHWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM UCHAGUZI 2025
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha dharura cha...
CCM 2025: KIKWETE AONGOZA AZIMIO LA KUWAPITISHA SAMIA NA MWINYI
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Januari 19,...
KANISA LA AGGCI GEITA LATEKELEZA WITO WA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA
Kanisa la Assemblies of God Gospel Church International (AGGCI) kupitia ibada maalum limewakumbuka watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Askofu...
RAIS SAMIA: “TUACHE MAZOEA, TUWASIKILIZE WANANCHI”
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea na kutoa onyo kali...
STEPHEN WASIRA: CCM HAINA SABABU YA KUSHINDWA UCHAGUZI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Stephen Wasira, akizungumza kwa kutoa shukrani kwa kuaminiwa na kuchaguliwa katika nafasi hiyo mbele ya...
WANACHAMA BIASHARA UNITED WAKUBALI KUITOA TIMU KWA MDAU WA MICHEZO BILA MASHARTI
Na Shomari Binda-Musoma
WANACHAMA wa timu ya Biashara United " Wanajeshi wa Mpakani" wameridhia kuitoa timu hiyo kwa mdau wa michezo Richard Sakala bila masharti.
Kwa...
HAMASA NA USHINDANI VYAONGEZEKA LIGI YA WANAWAKE MKOANI GEITA
Ligi Daraja la Tatu ngazi ya mkoa kwa upande wa mpira wa miguu wa wanawake imeanza rasmi Mkoani Geita, ikiwa na hamasa kubwa kwa...
MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10 , ZAIDI YA MILIONI 250 ZIMETOLEWA KWA WATEJA...
Na Mwandishi Wetu.
Mtandao namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Yas Tanzania , kupitia Kampeni yake ya MAGIFTI YA KUGIFTI umeendelea kukonga...
TUME YA RAIS MABORESHO YA KODI YATUA MARA KWA KUPOKEA MAONI YA WADAU
Na Shomari Binda-Musoma
TUME ya Rais ya maboresho ya kodi imetua mkoani Mara na kupokea maoni ya wadau wakiwemo wafanyabiashara kwa kufanya nao kikao.
Kikao hicho...













