UORODHESHWAJI WA HATIFUNGANI UTALETA MAFANIKIO KWA WATANZANIA – DKT. MWIGULU
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati), akigonga kengele kuashiria kuorodhoreshsa rasmi kwa Hati Fungani ya Benki ya Azania ijulikanayo kama...
DKT. JAFO AELEKEZA BODI YA CAMARTEC KUZUIA HATI CHAFU NA KUSIMAMIA FEDHA KWA USAHIHI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Selemani Jafo ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kuleta mabadiliko zaidi...
TANZANIA, UN TOURISM ZASAINI MAKUBALIANO YA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII WA VYAKULA BARANI...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania...
MKUU WA WILAYA YA SAME AWATAKA WANAFUNZI KUJIEPUSHA NA VITENDO VYA MMOMONYOKO WA MAADILI.
Ashrack Miraji Mzawa Online Media
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi wa shule za sekondari wilayani humo kujiepusha na vitendo...
KUELEKEA MKUTANO WA M300: TANZANIA YAWEKA HISTORIA UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI
đź“ŚWatanzania asilimia 78.4 wameunganishwa na umeme
đź“ŚUunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 100
đź“ŚVitongoji 33,657 vimefikiwa
đź“ŚWatanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030
đź“ŚRais Samia kinara wa matumizi ya...
WANANCHI KATA YA KAMNYONGE WAMUOMBA DC CHIKOKA KULIFUNGUA SOKO LAO
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kata ya Kamnyonge manispaa ya Musoma wamemuomba mkuu wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kufanya jitihada ya kufungua soko lao.
Wakitoa...
TMA YATOA TAARIFA MWELEKEO MSIMU WA MVUA ZA MASIKA MACHI- MEI,2025
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza mwezi Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu...