UZALISHAJI NA UPATIKANAJI WA NISHATI YA UMEME NCHINI YAJADILIWA KATIKA KAMATI YA BUNGE
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa utekelezaji wa bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2024/2025...
DP WORLD NA ADANI PORTS ZAIMARISHA UFANISI BANDARI YA DAR
Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abeid Galusi, amesema kuwa maboresho yaliyofanyika katika eneo la kupokea na kupakua mizigo yamesababisha kupungua kwa...
SWEDEN KUSHIRIKIANA NA TRA KUONGEZA UWEKEZAJI
Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlotta Ozaki Macias amesema Nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kuchochea Uwekezaji nchini.
Akizungumza wakati...
ACT WAZALENDO YAANZA MCHAKATO WA WATIANIA KUGOMBEA NAFASI ZA UCHAGUZI 2025.
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua rasmi mchakato wa ndani wa wanachama kujitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
MAANDALIZI YA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (MISSION 300) YAFIKIA ASILIMIA...
๐ Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa
๐ Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa...
WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027
๐Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa
๐Rais Samia kinara wa Michezo nchini
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za...
SHULE YA KWANZA YA GOROFA YA SEKONDARI KUJENGWA KATA YA KIGERA MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
SHULE ya kwanza ya sekondari ya gorofa itaanza kujengwa hivi karibuni Kata ya Kigera manispaa ya Musoma.
Ujenzi huo utaanza baada ya hii...
WATOTO WALIOIBIWA WAKUTWA KWA MGANGA WA KIENYEJI
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Watoto wawili Mahdy Kasim(me) Umri 04 na Husna Kasim(ke) 05 walioibiwa na binti wa kazi za ndani Januari 11, 2025...
CCM MUSOMA MJINI YAMPONGEZA RAIS DKT.SAMIA UTOAJI FIDIA BILIONI 3.9 KWA WANANCHI
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Mapinduzi( CCM) Wilaya ya Musoma mjini kimempongeza na kumshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kiasi cha biliini 3.9...
DKT KAZUNGU ATETA NA BALOZI WA TANZANIA ABU DHABI
๐ Anadi miradi ya nishati kuvutia wawekezaji kutoka Abu Dhabi
๐ Ashiriki hafla ya ufunguzi wa Wiki ya uendelezaji Nishati Abu Dhabi na utoaji tuzo...