BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI – WAZIRI MAVUNDE
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchini ikiwa...
WALIPA KODI 1228 KUKABIDHIWA ZAWADI NA RAIS SAMIA JANUARI, 23.2025
Jumla ya Walipakodi 1228 kutoka kona zote za Tanzania, wanatarajia kukabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu...
WAZIRI WA FEDHA NA GAVANA WA BENKI KUU WAKABIDHIANA NOTI MPYA ZA TOLEO LA...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu ...
DK MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO VIONGOZI WA NMB BANK
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa...
CHADEMA BUTIAMA WAPONGEZA USHINDI WA LISSU NAFASI YA MWENYEKITI TAIFA
Na Shomari Binda
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo " CHADEMA "Wilaya ya Butiama wamepongeza ushindi wa Tundu Lissu kwenye uchaguzi wa chama hicho.
Akizungumza na Mzawa...
TAKUKURU NA MISA TAN KUIMARISHA USHIRIKIANO DHIDI YA RUSHWA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo Vya Habari Kusini Mwa Afrika - Tawi la Tanzania (MISA Tan) Bw. Edwin Soko, amemtembelea Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi...