SHEIKH ABUBAKAR AMSHUKURU MGORE MIRAJI KUCHANGIA MAENDELEO YA DINI
Na Shomari Binda_Musoma
SHEIKH wa Wilaya ya Musoma Abubakar Mukama amemshukuru Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Taifa Mgore Miraji kwa kuwa...
RC MTAMBI ACHANGIA UJ̌ENZI MSIKITI WA KIGERA BONDENI NA KUTOA UJUMBE WA UPENDO
Na Shomari Binda_MUSOMA
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesisitiza upendo kwa waumini wa dini ya kiislam na jamii kuwa na ushirikiano.
Kauli hiyo...
WAZIRI MKUU KUZINDUA KANZIDATA NA MFUMO WA TAARIFA ZA WENYE ULEMAVU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 25 2025 atazindua Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu Wenye Ulemavu Unaotokana Matokeo ya Sensa ya Watu...
KARATU WAHAMASISHWA KUSAJILI VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Serikali imetoa rai kwa wananchi kuhakikisha kuwa vikundi vya huduma ndogo vya fedha vinavyojulikana kama VICOBA vinasajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo...








