MAGEUZI SEKTA YA MAGHALA: DKT. JAFO AZINDUA KAMERA ZA KIDIJITALI NA STIKA ZA UTAMBUZI!
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameitaka Bodi ya Usimamizi na Stakabadhi za Ghala kuusimamia Mfumo wa Matumizi ya Kamera...
KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi...
DODOMA YAZIDI KUNG’ARA KATIKA UWEKEZAJI
Mradi wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kupikia, unaojengwa katika Kijiji cha Veyula, Dodoma, umepiga hatua kubwa tangu uliposajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania...
KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 CCM FURAHIKA-VETA WATOA NENO
Na Magrethy Katengu-Dar es salaam
Ikiwa imebakia siku kadhaa kuadhimisha miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),tangu kuzaliwa kwake,Februari 5 ,1977 Chuo cha Ufundi Furahika...
BIASHARA SAA 24 KUANZA RASMI FEBRUARI 22 MWAKA HUU
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema shughuli za biashara zitaanza kufanyika rasmi Kwa saa 24 mkoani...
*REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA KWA BEI YA...
πMitungi ya gesi ya kupikia 3,255 kusambazwa wilaya ya Hai.
πHai
Diwani wa viti maalam Kata Ya Machame Mashariki, tarafa ya Lyamungo Wilaya Ya Hai, Mhe....
RC MTAMBIATOA WITO KWA WANANCHI KUTUMIA SOKO LA HISA LA HAIPPA PLC KUJIINUA KIUCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ametoa wito kwa wananchi kutumia soko la hisa la kampuni ya umma ya HAIPPA...
UJENZI WA SOKO LA KARIAKOO WAFIKIA ASILIMIA 97 β RC CHALAMILA
Mara baada ya jiji la Dar es salaam kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika Mkuu wa Mkoa...
SHANGWE LA MKULIMA WA SIMANJIRO ALIYESHINDA GARI KUTOKA YAS ( ZAMANI TIGO ).
JANUARI , 30 , 2025 : Ibrahim Iddi , Mkulima Mkaazi wa Simanjiro Mkoani Manyara akikabidhiwa zawadi ya Gari Jipya aina ya KIA SORENTO...
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 β KAPINGA
π Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-
π Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji
Naibu Waziri wa...