MEYA GUMBO AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA MADRASA MSIKITI WA MWISENGE MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MEYA wa Manispaa ya Musoma na diwani wa Kata ya Makoko Kapteni mstafu Patrick Gumbo ameongoza harambee kukamilisha ujenzi wa madrasa kufundishia...
SHEKH MKOA WA SIMIYU ACHANGIA UJENZI WA MADRASA MUSOMA AKIONGEA KWA SIMU NA MEYA...
Na Shomari Binda-Musoma
SHEKIKH wa mkoa wa Simiyu Issa Kwezi Kidayi amechangia mifuko 10 ya saruji kwenye ujenzi wa madrasa kwenye Msikiti wa Mwisenge na...
WAKUU WA SHULE NA WALIMU WA SEKONDARI WILAYA YA SAME WAJENGEWA UWEZO WA MTAALA...
Na Ashrack Miraji, Mzawa online
Afisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, Mwalimu Neema Limunge, amesema kuwa mabadiliko ya mtaala mpya...
WANACHAMA WA CCM WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MAJUNGU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
NA WILLIUM PAUL,
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wameshauriwa kujiepusha na maneno ya uongo (majungu) hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili...
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA UHAMIAJI – DKT. BITEKO
📌 Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari
📌 Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri
Na Ofisi ya Naibu Waziri...