OFISI ZA TAASISI ZA MUUNGANO KUFUNGULIWA ZANZIBAR KWA HUDUMA BORA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema usimamizi makini wa utekelezaji wa Mambo ya...
ELIMU YA FEDHA: SULUHISHO KWA CHANGAMOTO ZA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI
Mratibu wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha, Halmashauri ya Jiji la Arusha, Bi. Fatuma Amiri, akizungumza na wananchi wa Kata ya Murieti katika Shule...
DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
📌Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii
📌Taasisi za elimu ya juu zatakiwa...
DIWANI MARIAM ARIDHISHWA UKARABATI MAJENGO YA MADARASA SHULE MSINGI MWEMBENI
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa Kata ya Mwigobero manispaa ya Musoma Mariam Sospeter ameridhishwa na ukarabati wa majengo unaofanywa kwenye shule ya msingi Mwembeni iliyo...
MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME NI YA MUDA MREFU – DKT. BITEKO
📌Asema ilijengwa wakati mahitaji yakiwa kidogo
📌Vijiji vyote vimefikiwa na umeme
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema miundombinu iliyopo ya...
NIMETUMWA NA CHADEMA BUTIAMA KUMCHAGUA LISSU ” MAKENJI”
Na Shomari Binda
Mwenyekiti wa Chama cha Demikrasia na Maendeleo " Chadema" Wilaya ya Butiama Michael Makenji ameonyesha msimamo wa kumchagua Tundu Lissu kwenye uchaguzi...