RAIS SAMIA: NATAMANI TANGA IWE KITUO KIKUBWA CHA UTALII
Na Happiness Shayo-Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanga inaweza kuwa kivutio na kituo kikubwa cha utalii...
DK. JOYCE KAHAMBE: UJUZI NI MUHIMU KATIKA KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA
Afisa Mkuu Mtaala Mwandamizi wa Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), Dk. Joyce Kahambe amewasihi wazazi waendelee kuwahimiza watoto wapende elimu na kufanyia kazi ujuzi wanaojifunza...
SAMIA ATOA ZAIDI YA BILIONI 1.16 KWA MIRADI YA SHULE ZA SEKONDARI ZA AMALI...
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashim Abdallah Komba, leo Februari 28, 2025, ametembelea na kukagua ujenzi wa shule mbili za amali katika Jimbo...
KATIBU MKUU NISHATI AIPONGEZA SWEDEN KUFADHILI MIRADI YA UMEME NCHINI
📌 Ni nchi ya kwanza kufadhili miradi ya umeme vijijini nchini
📌 Ufadhili wake Mradi wa Makambako- Songea wawezesha vijiji 120 kupata umeme
📌 Balozi wa...
SERIKALI IMEONDOA CHANGAMOTO WALIZOKUTANA NAZO WANAWAKE KATIKA UONGOZI – BI. BAHATI MTONO
📌 Asema Siku ya Wanawake Duniani ilianzishwa 1975 na UN
📌 Asema Nishati Safi ya Kupilkia inachagiza ukombozi wa kiuchumi kwa Mwanamke
Mkurugenzi Msaidizi Sehenu ya...
UVCCM (M)Â GEITA YASISITIZA UUNDWAJI WA VIKUNDI VYA VIJANA KWA AJILI YA MIKOPO
Maafisa maendeleo ya jamii pamoja na watendaji wa serikali wilayani Nyang’hwale, mkoani Geita, wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuhusu matumizi sahihi ya mikopo...
TIC YASAJILI MIRADI 2,020 JAN 2021 HADI JAN 2025 IKILINGANISHWA NA MIRADI 1,057 KWA...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Bwana Gilead Teri ameeleza kuwa Taasisi hiyo imesajili miradi 2,020 ikiwa ni ongezeko la asilimia...
SERIKALI KUENDELEA KUTUNGA SERA RAFIKI KUWEZESHA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA NISHATI SAFI YA...
📌 Rais Dkt.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
📌 Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na...
RAIS SAMIA AITAKA REA KUUPA KIPAUMBELE MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌Azindua mradi wa usambazaji nishati safi ya kupikia
📌Sekta binafsi kupewa kipaumbele matumizi ya nishati safi kwa bei nafuu
📌Apongeza ubunifu wa teknolojia za nishati safi...
SERIKALI YAPONGEZA UWEKEZAJI WA NYIHITA SUNFLOWER UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KULA
Na Shomari Binda-Rorya
SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na muwekezaji Nyihita Wilfred wa uanzishaji wa kiwanda na mashamba kwaajili ya uzalishaji wa mafuta ya alizeti.
Pongezi hizo...