TIC YASAJILI MIRADI 2,020 JAN 2021 HADI JAN 2025 IKILINGANISHWA NA MIRADI 1,057 KWA...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Bwana Gilead Teri ameeleza kuwa Taasisi hiyo imesajili miradi 2,020 ikiwa ni ongezeko la asilimia...
SERIKALI KUENDELEA KUTUNGA SERA RAFIKI KUWEZESHA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA NISHATI SAFI YA...
📌 Rais Dkt.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
📌 Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na...
RAIS SAMIA AITAKA REA KUUPA KIPAUMBELE MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌Azindua mradi wa usambazaji nishati safi ya kupikia
📌Sekta binafsi kupewa kipaumbele matumizi ya nishati safi kwa bei nafuu
📌Apongeza ubunifu wa teknolojia za nishati safi...
SERIKALI YAPONGEZA UWEKEZAJI WA NYIHITA SUNFLOWER UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KULA
Na Shomari Binda-Rorya
SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na muwekezaji Nyihita Wilfred wa uanzishaji wa kiwanda na mashamba kwaajili ya uzalishaji wa mafuta ya alizeti.
Pongezi hizo...
MATUKIO; HAFLA YA UZINDUZI USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI
Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari...
WANANCHI MUSOMA WAMTUMA NAIBU WAZIRI KIGAHE KWA RAIS DKT.SAMIA UFUNGUZI WA VIWANDA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI katika manispaa ya Musoma wamemtuma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exauds Kigahe kufikisha salamu zao kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan...
WANAWAKE TUNAPOPATA FURSA TUSIMAME NA TUTENDE HAKI – MKURUGENZI UNUNUZI NISHATI
Mkurugenzi wa Ununuzi Wizara ya Nishati, Bi. Marieta Kiago ametoa rai kwa Wanawake hususan vijana kuwa wanapopata nafasi za kufanyakazi kwenye maeneo na Taasisi...










