RAIS MWINYI AZINDUA KITUO CHA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Uwekezaji wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Vyombo...
WAZIRI CHANA AFUNGUA RASMI ONESHO LA WIKI YA UBUNIFU LA ITALIA JIJINI DAR ES...
• Aipongeza Italia kwa mashirikiano katika sekta ya utalii
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)...
AFRIKA TUNAPASWA KUTUMIA RASILIMALI TULIZONAZO KUZALISHA UMEME WA KUTOSHA- DKT.BITEKO
📌 Asema pamoja na dunia kuhamia kwenye nishati jadidifu, makaa ya mawe yatasaidia Afrika kuwa na umeme wa kutosha
📌 Aeleza mafanikio sekta ya nishati...
TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA
📌 Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...