KILI MARATHON ITUMIKE KUTANGAZA UTALII – DKT. BITEKO
๐ Watu zaidi ya 20,000 washiriki Kili Marathon
๐ Awaasa kuzingatia ulaji na kufanya mazoezi
๐ Serikali kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo
Na Ofisi ya Naibu...
RAIS DKT SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA HANDENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni...
RAIS DKT SAMIA AKIWASALIMU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika...
WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUFIKIWA NA MIRADI YA MAENDELEO
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba kilichopo Musoma Vijijini wameishukuru serikali kwa kufikiwa na miradi mbalimbali ukiwemo wa umemejua.
Wakizungumza kisiwani hapo kwa nyakati...
WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI – KAPINGA
๐Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi
๐Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta...
MUHONGO ACHANGIA VITI 200 KWANYE UMOJA WA JAMII YA WATU WA MUSOMA KWAAJILI YA...
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amechangia viti 200 vyenye thamani ya shilingi milioni 4 kwa umoja wa jamii...









