GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA KATIKA MAGARI YA SERIKALI
📌 TPDC kusimika vituo vya CNG Mikoa ya Dar esSalaam, Morogoro na Dodoma
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuweka miundombinu ya kutumia...
MGORE MIRAJI AWAASA VIJANA WA UVCCM MUSOMA MJINI KUZINGATIA MAADILI
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi wa CCM Taifa Mgore Miraji amewaasa vijana wa Jumuiya ya Vijana wa CCM(...
KATIBU TAWALA WA MKOA WA GEITA AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI YA HOSPITALI YA...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mohamed Jumanne Gombati, amezindua rasmi Bodi mpya ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita na...
DKT. BITEKO ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI KIMATAIFA
📌 Dkt. Samia achagiza mapinduzi ya nishati Afrika
📌 Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia yajadiliwa kimataifa
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...
FDH YATOA TUZO YA HESHIMA KWA ABILIS DODOMA
TAASISI ya Foundation for Disabilities Hope (FDH) imetoa tuzo kwa Abilis Foundation kwa kutambua juhudi zake muhimu katika kusaidia watu wenye ulemavu katika maeneo...
WENYE MATATIZO YA MACHO WAENDELEA KUPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wenye matatizo ya macho mkoani Mara wameendelea kupata matibabu kutoka kwa madaktari bingwa kwenye hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Huduma hizo...
INDIA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA NISHATI NCHINI
📌 Ni kupitia mazungumzo kati ya Dkt. Biteko na Waziri wa Petroli na Gesi Asilia India
📌 Gesi, Nishati Safi ya Kupikia na Bayofueli zatajwa
📌...
BILIONI 30 ZA MRADI WA MAJI TAKA KUUWEKA MJI WA MUSOKA KATIKA HALI YA...
Na Shomari Binda-Musoma
SHILINGI bilioni 30 zinazo tekeleza mradi wa maji taka manispaa ya Musoma zinatarajia kuuweka mji huo katika hali ya usafi.
Kauli hiyo imetolewa...
MKUU WA SHULE APONGEZA KAZI ZINAZOFANYWA NA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSANI
Mkuu wa Shule ya Sekondari Sumve amepongeza mafanikio yaliyopatikana ndani ya kipindi cha utawala wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya...