RAIS MWINYI AFUNGUA TRACE AWARDS 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwaunga Mkono Wasanii kwani ni Muhimu katika Kukuza...
RAIS SAMIA AIVUSHA WIZARA YA MAJI KUTOKA KUWA YA LAWAMA NA KUWA WIZARA YA...
Rais Samia Handeni Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Februari 25, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...
MKUU WA WILAYA YA SAME AKERWA NA USIMAMIZI MBOVU WA MRADI WA MAJI
Na Ashrack Miraji Mzawa Media
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameonesha kukerwa na usimamizi wa mradi wa maji unaotekelezwa na Wakala...
UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME HANDENI KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME- RAIS SAMIA
📌 Kituo kugharimu shilingi bilioni 50
📌 Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUIMARISHA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI
📌 Dkt. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama
📌 Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama
Na Ofisi ya...
MILIONI 870 KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA VIJIJI VYA SEKA NA KABONI JIMBO LA MUSOMA...
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya shilingi milioni 870 zimetolewa na serikali kwaajili ya usambazaji maji ya bomba kwenye vijiji vya Seka na Kaboni vilivyopo Kata...
WAPATIWA FEDHA KUNUSURU RASILIMALI BAHARI.
Na Boniface Gideon, TANGA
Wakazi wa kata ya Kwale wilayani Mkinga ,wamepatiwa fedha Sh.10.5 Mil.kwaajili ya kukopeshana bila riba kupitia vikundi kwalengo la kupunguza shughuli...
4R’s ZA RAIS SAMIA ZAITIKISA GENEVA
Akizungumza wakati akiiwakilisha Nchi ya Tanzania katika Kikao cha 58 Cha Haki za Binadamu kinachofanyika Geneva Nchini Uswisi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr....
TANGA YAENDELEA KUPAA: RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA WASICHANA NA MIRADI MINGINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, Februari 25, 2025, anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Tanga...












